SHARE

Teknolojia inazidi kupiga hatua kila siku. Kampuni ya ASUS imechungulia soko na kuona kuna kasoro fulani katika simu janja,kwa sasa tunaweza kusema wamekuja na dawa ya kasoro hiyo.

Baada ya kuona watumiaji wengi wa simu janja wanapenda kucheza michezo (games) kwenye simu zao wameamua kuboresha na kurahisisha uchezaji wa michezo hiyo kwenye simu.

Asus Rog

 

Kama wewe unapenda kucheza michezo hiyo kwenye simu,basi angalia vizuri simu hii inakufaa kwa burudani hiyo.

Sifa na uwezo wa Asus Rog

ROG Phone
Prosesa Exclusive 2.96GHz octa-core Qualcomm Snapdragon 845 Mobile Platform
GPU Qualcomm Adreno 630
Kioo 6.0“ 18:9 (2160×1080) AMOLED
90Hz refresh rate with 1ms pixel response time
108.6% DCI-P3 color gamut and 10000:1 contrast ratio
10-point multi-touch (supports Glove Touch)
Discrete image processing chip supports HDR
Ram yake GB 8
Diski uhifadhi UFS 2.1, 128GB / 512GB
Sensor Accelerometer, e-compass, proximity sensor, Hall sensor, ambient-light sensor, fingerprint sensor, gyroscope, 2 x ultrasonic AirTriggers
Toleo la Android 8.1 [Oreo]
Side I/O Custom USB-C supports USB 3.1 Gen 1, DP 1.4, fast charging (15W)
ASUS HyperCharge direct charging
Bottom I/O USB-C supports USB 2.0, fast charging (20W), Direct Charge
3.5mm headphone jack
Kamera Nyuma 12MP + 8MP (120° wide-angle)
Mbele: 8MP
Audio Dual front-facing stereo speakers with smart amplifier
24-bit/192KHz Hi-Res Audio
DTS Headphone:X 7.1 virtual surround-sound
Qualcomm aptX High-definition Bluetooth® wireless audio
Betri 4,000mAh

Pamoja na sifa hizo kwa uzuri zaidi inakuja ikiwa na sehemu ya kuchaji ikiwa kwa upande wa pembeni,hii ina maanisha ukizungusha simu yako ikiwa mlalo kwenye  uchezaji hautapata usumbufu wa usb kuchomoka ovyo.

urahisi wa kucheza game ukiwa unachaji simu yako
Facebook Comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here