Twitter Yazima programu yake ya Tv.

Baada ya kufunga programu yake ya Mac na desktop hapo awali mwaka huu, Twitter imetangaza kuwa imefunga programu zake za TV kwenye Roku, Android...

Instagramu yatoa kipengele kipya cha instagram ‘mute’ .

Instagram hapo awali ilitangaza kipengele ambacho kinawapa watumiaji uwezo fulani wa kufahamu ni nani au watu gani wanaofuata (au ambao hawaja kufuata)na  kuonyesha katika...

OnePlus 6 vs Galaxy S9 + Pixel 2 XL pamoja na iPhone X....

Simu nyingi za OnePlus zimevutia hisia na utendaji mzuri, lakini ubora wa kamera haujawahi kuwa sawa na vifaa vingine vyenye nguvu. Hii ilikuwa ya...

jinsi gani program ya Kaspersky inaweza kukusaidia kukaa salama mtandaoni.

katika siku hizi,watu wengi hawawezi kabisa kujali  usalama wa mtandao kwa maana hawajalipa nafasi swala hili. Chukulia mwaka jana kwa mfano. NotPetya na WannaCry...

Programu ya Google photo sasa yapata kipengele cha Favorites.

Najua watu wengi wanapenda kutumia programu hio ya Google photo, lakini wakati mwingine unatambua kwamba programu haina vitu vingine vya msingi. Kwa mfano, haijawahi...

Toleo la Honor 7x kutoka Huawei rasmi kupata android 8[Oreo]

Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu za Honor ambayo ni ndugu na Huawei. Toleo la Honor 7x sasa limepata sasisho la android...

Barack Obama na mkewe Michelle watazalisha filamu na vipindi vya televisheni kwenye Netflix.

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle Obama wataanza kuzalisha maudhui kwa Netflix chini ya kampuni yao ya Ground Productions. Kwa...

Facebook vs Facebook Lite tofauti yake ni nini??

Je! Unajua kwamba Facebook ina programu mbili za simu za mkononi tofauti? Wakati wengi wetu tunatumia Facebook "ya kawaida", basi jua kwamba facebook ina...

WhatsApp ya achia Kipengele cha video calling kwenye iOS, Android beta.

Kwa mujibu wa Tweet iliyotumwa siku kadhaa zilizopita na WEBetaInfo, wafuasi wa vipengele vipya kwenye matoleo ya WhatsApp Beta, WhatsApp kwa iOS toleo la...