Unlock bootloader kwenye simu za Tecno

Watu wengi sana wamesumbuka sana na hizi simu za tecno kwanzia android 6 kwenda juu,nakutia moyo uwe karibu na blog yetu utapata ufumbuzi.Kwanza kabsa...

[Busu la Pink]Download themes ya GBWhatsApp

Pakua hapa? DownloadJinsi ya kuiweka kwenye simu yako angalia video hii na utumie app ya RAR kufungua faili hiloSOMA PIA:- Jinsi ya kubadili muonekano wa...

Samsung waachia kivinjari chao kupakuliwa

Ni muda mrefu sana umepita watu wakitamani kivinjari cha Samsung Internet,ilikuwa huwezi kupakua kabisa  apps yoyote ya Samsung kama simu yako ni tofauti, habari...

Download nyimbo, video na apps kwa Telegram

Kwa wale wanazi wa kuchat na kujadiliana kwenye makundi mbalimbali mitandaoni basi wanajua utamu wa Telegram ilivyo.  Telegram ni app kama ilivyo WhatsApp messenger,au...

Tumia OTG kebo hata kama simu haina uwezo huo

Huu ni mfumo ambao sio maarufu sana lakini umekuwa ukitamanika kwa kila mtu anayejaribu OTG kebo ni nini?Ni mfumo ambao unaweza kuunganisha flash na simu...

WhatsApp waja kivingine

WhatsApp wameamua kuachia app yao ingine ya WhatsApp Business. Huenda ikawa ni mbinu ya kuizima Telegram baada ya kuonekana tishio.Telegram wao wana kitu kiitwacho"...

Download Play Store kwenye simu za China

Nchini Uchina hakuna huduma yoyote ya Google,kwa hiyo makampuni mengi hulazimika kutoa aina mbili za simu(international na Chinese versions)ndio maana simu nyingi ambazo ni...

Jinsi ya kuitambua Memory Card Original

Watu wengi sana wamelizwa, wameibiwa au wamebambikwa memory fake,hii inatokana na wengi kutokuwa na ujuzi sahihi wa kuzitambua hizi memory.Muonekano kwenye SD cardMuonekano wa...

Jinsi ya kuroot simu za Samsung

Hakuna mabadiliko makubwa sana kuroot hizi simu, sababu kubwa ni kwa kuwa nyingi hutumia Prosesa za Snapdragon na hazina bootloader,kwa hiyo ndiyo mana mfumo...

Telegram vs WhatsApp ipi bora?

Kwa sasa kuna maelfu ya apps za kuchat badala ya sms,apps hizi ili ziwe haraka hutumia data,lakini unaweza kujiuliza ni app ipi nzuri kuliko...