Apps Tano Bora ambazo unaweza kuzitazama wiki hii.

Juma jingine, jumatatu nyingine tena ambayo smatskills tumeona tukuletee programu za wiki na  bora ambazo unahitaji kujaribu: hapa utapa uteuzi wa programu za zamani,...

Samsung yazindua simu mpya ya Galaxy S8 lite .

Toleo la Samsung Galaxy S8  lite la limeshuhudiwa kwa muda fulani sasa, na kifaa kipya kimetanguliwa rasmi nchini China, kama kilichoonekana na SamMobile. Badala...

Mkurugenzi Mtendaji wa Xiaomi Lei Jun Anasema kuwa Xiaomi Mi Max 3 Itatolewa Julai...

mkurugenzi huyo wa Xiaomi amethibitisha kwamba simu hio  inafanyiwa tukio la uzinduzi mwishoni mwa mwezi huu, labda Mei 31, ambapo kampuni itazindua bidhaa mbalimbali....

Download Volcano Tool Latest Version bila Box lake hapa,

volkano Chombo cha hivi karibuni kwaajili ya kuflashia simu za android bila box unaweza kupakuwa kwenye window XP, 7, 8 & 10. Hii ni...

DOWNLOAD REAL RACING 3 (hacked unlimited coins)

  Hellow guys smatskills gamers,mambo vp? Natumaini wazima na wenye afya . Ah Leo katika kuwaletea vitu vitamu nimekuja na hiili game apa linaitwa REAL...

Jinsi Muziki wa YouTube Unavyozidi Kuzipinga Spotify na Apple Music na kuwa mpinzani mpya...

Kuna mpinzani mpya katika nafasi ya muziki stream. Siku ya Alhamisi, Google ilitangaza YouTube Music, jaribio lake la hivi karibuni la kupata mashabiki wa...

Google Duo inaweza kushare skrini ya simu yako kwenye simu nyingine.

Google Duo-ni programu ya mazungumzo kwa njia ya video na sauti . DOWNLOAD HAPA GOOGLE DUO. Google Duo imefanya iwe rahisi kuwezesha msaada wa teknolojia...

UEFA CHAMPION KUONYESHWA MUBASHARA YOUTUBE..

BT Sport kwa mara nyingine tena kwa mechi ya UEFA Europa League na fainali za UEFA Champions League kuonyeshwa Mubashara (live) kwenye YouTube, pamoja ...

Kivinjari cha PHOENIX chajitofaurisha kabisa na vingine

PHOENIX ni kivinjari ambacho sio kikongwe sasa kwenye apps tumizi,pamoja na ugeni wake sokoni lakini kimepata watumiaji wengi kutokana na kuja kikiwa ndani ya...

Instagram rasmi yazindua tena kipengele kipya cha kushare posts kwenye stories.

La, sio tena chaguo la "regramu" toleo ambalo lilizua tetesi ambazo zilisikika hapo mwanzo kwa ujio wake Lakini hivi karibuni  Instagram imetangaza kuzindua rasmi...