itel wazindua simu tatu kwa mpigo

Kampuni ya simu ya itel wameachia simu tatu kwa mpigo hapa wamelenga wale wanaopenda kujipiga picha,simu nzote zinakuja na kamera mbili za mbele  ...

JINSI YA KUTAFUTA SIMU ILIYOIBIWA

Inasikitisha na kuhuzunika pale utakapo ibiwa simu yako au kupoteza,kwanza kabisa unajiuliza nianzie wapi niweze kuipata,uchungu huongezeka zaidi pale utakapopiga na simu kuita. unaweza...

LIFAHAMU NA PAKUWA GTA SAN ADREAS GAME HAPA FULL PACKAGE (1.99GB) COMPRESSED DATA FOR...

Habar za saizi ndugu na wasomaji wetu wa blog yetu.  Leo hii nmependa kushare nanyi game zuri lenye GRAPHICS KALI na challange nyingi za...

KEYBOARD 5 BORA ZITAKAZO KUFANYA UTYPE FASTER

Hakuna kitu kinachoboa kama endapo keyboard ya simu yako kuchelewa kurespond pale unapo chat na ndugu, jamaaa na marafiki.Hii husababishwa na. Speed ya mtu...

JINSI YA KUFLASH NA KUOPEN MODEM ZA TIGO HUAWEI E303H

Habar za saizi ndugu zangu!!!  Leo nitaenda waonesha jinsi ya kuflash modem za huawei 303h za tigo ili iweze support line zote hapa bongo.Hivo...

APPS KUMI MUHIMU KWENYE SIMU YAKO

Soko la simu janja limekuwa kubwa sana hasa hapa Tanzania na Afrika pia,kila mtu ananunua hizi simu kwa lengo lake binafsi,huenda ukanunua kwa sababu...

PES 2018 MODS FTS 18 IN ONE GAME ;PAKUA HAPA NA JIFUNZE JINSI YA...

Habari za saizi ndugu zangu?  Leo tumekuletea game moja lenye mfuto na challange nzuri zitakazo kufanya wewe mpenzi msomaji wa blog yetu kuenjoy na...

JINSI YA KUONGEZA SPEED YA CHROME BROWSER YAKO YA SIMU

Habari za saizi wasomaji na wapeluzi wa blog yetu ya smatskills. Leo nitaenda ongelea ni jinsi gani unaweza kuongeza na kuhack baadhi ya settings...

Blackberry waachia simu mpya [Blackberry Motion]

Hii ni full touch (mguso kote) tofauti na mwanzo walikuwa wakitoa simu ambazo ni mguso na kicharazio(keyboard) naona wamebadilisha upepo baada ya kuona kicharazio...

Jinsi ya kuroot Tecno C9

Habari njema kwa watumiaji wa Tecno C9,wengi walizoea kuroot simu nyingi kwa kutumia kingroot lakini ujio wa Android 6(marshmallow) inekuwa mtihani kwa wengi.Tecno C9...