SHARE

Kila siku moja simu janja moja hutambulishwa duniani,wazia kwa mwezi zinatoka simu ngapi?.

Simu ya itel A32F

Leo tuone sifa na uwezo wa simu mpya kutoka itel ikiwa ni A32F.

Toleo Android Android OS, v8.1 Oreo(Go Edition)
Prosesa Chipset MediaTek MT6580M
Hifadhi hifadhi ya ndani 8GB, 1GB RAM
Kadi ya ziada hifadhi ya kuchomeka hadi 32GB
Kamera kamera ya nyuma 5MP With Auto Focus
Kurekodi Video ndio
Kamera ya mbele 2MP
Muunganisho kasi ya data 2G, 3G
WLAN Wi-Fi 802.11 b/g/n , hotspot
Sensor Fingerprint(alama ya kidole)
Uwezo wa Betri 2050 mAh
Simu inakuja na rangi Midnight Black, Rose Gold, Starry Blue
Bei sio rasmi (huenda ikabadilika) Tsh.150,000

Kwa bei hiyo ukilinganisha na sifa  na uwezo wa simu,basi utagundua ni simu ya kisasa kabisa,sifa kuu na pekee ni kuja na toleo la Android 8.1 pamoja na sehemu ya alama ya kidole.

Tupe maoni yako simu unaipokeaje?

Facebook Comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here