SHARE

Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu za Honor ambayo ni ndugu na Huawei. Toleo la Honor 7x sasa limepata sasisho la android 8.

Model ya Sasisho la Honor 7x inavyoonekana na ujazo wake.

Simu hii ilitoka mwishoni mwa mwaka 2017 ikiwa na  Emui 5.1 kwa android ikiwa ni 7 Nougat. Mwanzo mwa mwez huu watumiaji wamesukumiwa kisasisho kipya kikiwa na ukubwa zaidi ya GB2.

Kama unatumia simu kama hii,ingia kwenye mipangilio/Sasisho la mfumo na hapo itatokeza,kama hakuna unaweza pia kutumia njia hii chini hapa.

Soma hapa Jinsi ya ku updates simu za Huawei na Honor

Kama unatumia hiyo simu kazi kwako,sisi kazi yetu kukusogezea habari karibu,usikose hata siku moja. Share na ndugu na jamaa kama unapenda smatskills.

Facebook Comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here