SHARE
Habari Gani mpendwa??
Kwa wapenzi wa Games za Actions nafikili game hii ni maarufu na mnaifahamu sana Ni nzuri nayakuvutia ila sasa Inakosa soko kwa sababu ili uendelee kupata uhondo Na challenge nzuri katika game hilo inabidi ulipie ndipo uendelee mbele. 
Basi leo snatskills imwkuletea game hilo ikiwa imekurahisishia ewe mpenzi wa game hilo Mambo mengi kabisa sasa hakuna tena Malipo ndani ya game hilo. 
Sasa unaweza jipatia game la 3D snipers ambalo limejazwa Uwezo zaidi kama vile:
>Coin
>Silaha
>Cheza offline
>Hakuna malipisho ndani ya game
Download link >>3D SNIPERS GAME
smatskills©2018