SHARE
  • Batman Enemy Within Mchezo huu ni wamapigano wenye Kuvutia sana kwa mandhari mazuri na Vingi vya Kuvutia smatskills Tumekuletea Hapa Uweze Kufurahia Mchezo huu.

VIGEZO NA MASHARTI YA KUINGIZA MCHEZO HUU KATIKA PC YAKO.

Mahitaji:

System Requirements

Minimum:
• OS: Windows 7 64Bit yenye Service Pack 1
• Processor: Intel Core 2 Duo 2.4GHz
• Memory: 3 GB RAM
• Graphics: Nvidia GTS 450+ with 1024MB+ VRAM (excluding GT) – Toleo jipya la DRIVERS .
• DirectX: Version 11
• Storage: 15 GB Nafasi inayopatikana.
• Sound Card: Direct X 11 sound device
Kwa Kumalizia: Hushauliwi kwa Intel integrated graphics.

JINSI YA KUINGIZA MCHEZO HUU :

Link Zipo katika Part 2 ,Part moja imebeba 4.9 GB Pakua hapa PART 1

Link ya Pili imebeba 3.3 GB Pakua hapa PART 2

Pia Mchezo Katika Link hizo upo kwenye Rar ili kuutoa kwenye Rar unatakiwa uwe na Programu moja wapo kati ya hizi mbili Winzip Pro au WinRar

kisha Ukimaliza Kupakua Part zote 2 utazi Exract katika File moja Huko kwenye Disc inayobeba Programu files LOCAL DISC C.

Ukizingatia Hayo Utaweza Kufanikisha Kucheza Mchezo huu.