SHARE

Niaje wadau wa smatskills gamersssssss……..unajua yani sisi smatskills tunawapenda saana na ndo maana tunawaletea hivi vitu ambavyo ni vigumu sana kuvipata kwa njia ya kawaida .

Sasa leo tumekuja na hili game ambalo ni noma na tamu sana na limekuwa adimu sana kulipata likiwa OFFLINE .

NI FIFA 18 ORIGINAL kabisa kwa size ya 1.3GB hacked by smatskills . Game hili ni la simu na tumejitaidi kulichakachua ili liwe offline kabisa na features zote ziko open.

Nikisema offline namaanisha kwamba utalicheza na kufungua kila kitu bila ya internet connection. Sasa bila kupoteza mda twende tukaanze kuinstall .

MAHITAJI YA KUZINGATIA

1. android kuanzia RAM 512mb kwenda juu

2. Z archiever

3 . Fifa 18 full package (1.3GB) download πŸ‘‡πŸ‘‡

Link ya kwanza DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊 (GOOGLE DRIVE LINK)

Link ya pili DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊 (GOOGLE DRIVE LINK)

NOTE.Β  unaweza tumia link yoyote hapo juu pia nakushauri tumia UCBROWSER au IDM+ ili upakue kwa speed nzuri.

Ucbrowser DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊

IDM+ DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊

Baaada ya kusema hivo tizama hii video hapa chini jinsi ya kuinstall…. Tazama kwa makini sana ili uweze furahia game lako kwenye simu yako.