SHARE

Kama kawaida wale wezangu wapenzi wa games tumerud na hiiii hapa…. .Kitu cha FTS 19 ,Kwale wasijua series za games za fts ni kwamba hizi ni games za mpira ambazo hutolewa na hawa jamaaa na sifa za hizi games ni kwamba sio nyepesi kama unavyofikiria au kama unavyocheza dream league soccer.Β  Hizi games ni ngumu na uzuri ni kwamba unaweza kuchagua challange level mfano kuna NORMAL, PROFESSIONAL na LOW

Kwa hiyo utaaangalia ubabe wako ucheze kwa level gani kaati ya hizo hapo juuu.

Sasa bila kuupoteza mda twende tukaaanze ….

MAHITAJI MUHIMU

1. Simu ya android

2. Pakua game hili hapa

APK LINK DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊

OBB LINK DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊

DATA LINK DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊

Z archiever link DOWNLOAD 😊😊😊😊😊😊

 

Baada ya kudownload utahitajika kuinstall.Β  Sasa files na data zote unazo sasa chakufanya angali hiii post yetu tulionesha vizuri jinsi ya kuinstall games zenye mfumo wa file hizi tizama hapa chini.

Link {TAZAMA HAPA 😊😊😊😊😊😊}