SHARE

Fts Habari, mpendwa na mfatiliaji wa smatskills tanzania karibu sana kwenye website yetu hii ambayo inakupatia kila kitu ambacho unahitaji. leo tutaenda kukuelekeza ni jinsi gani unaweza kupakua na kucheza game la fts 2018 kwenye android yako.

ikumbukwe hapo awali tuliweza kutoa post ya game hili ambayo kiukweli imekua ikiwapa shida watu wengi katika kupakua game hio, sasa basi hii ni post mpya ambayo inakupa link mpya pamoja na ujuzi zaidi.


fatana nami.

HATUA YA KWANZA:
Download game hili apk na obb pamoja na data zake zote tume kuwekea ndani ya file moja. chagua link mojawapo  hapo chini upakue game hili .
Download hapa FTS 2018 NEW LINK kupitia mega
Download hapa FTS 2018 NEW LINK kupitia Google drive
Download hapa FTS 2018 NEW LINK kupitia Media fire.

HATUA YA PILI :
Game hili lipo katika mfumo wa zip basi utatakiwa ulitoe katika mfumo wa zip kwa kutumia app ya Zarchiver au Es file exproler download kutoka google play store.
-Fungua zarchiver au es file exproler kisha chagua hilo file  ulilo download kwenye link hapo juu.
-Baada ya kulichagua file hilo exract kulitoa kwenye zip huku litakuomba password ambayo ni smatskills . TAFADHARI ANGALIA VIDEO HII ILI KUELEWA ZAIDI.

 

 

 

authenticaiton failed.
Facebook Comments