SHARE
 Kama kawaida huu ni maendeleo wa maboresho ya GBinsta, toleo hili la 1.30 lina mambo mengi sana tena mapya na ya utofauti kabisa, hebu ngoja tuone.

    >>SOMA PIA: CHAJI IPHONE X KWA HARAKA ZAIDI

            NINI KIPYA :
Mandhari (theme) kwenye app: 
          >>hapa unaweza kubadilisha themes mbali                    mbali ndani ya app
Profile theme: 
          >>unaweza kubadili mwonekano wa profile                  yako na kuwa na mvuto zaidi. Kuna mambo mengi pakua hapa ujionee mwenyewe? GBInstagram v1.30
                     ? GBInstagramPlus+ v1.30
Usisahau kushiriki na ndugu na jamaa kama kawaida ili wafaidi mambo mazuri kupitia smatskills.

    >>SOMA PIA: RUDISHA AKAUNTI YAKO YA FB ILIYODUKULIWA

Smatskills ©2018 All right Reserved