SHARE
Hii itahusu wale wachezeaji wa ndani sana wa app ya GBWhatsApp, kuna vitu vipya vimeongezwa ndani, je ni nini? Twende pamoja

SOMA PIA:Download GBInstagram V1.30


NI NINI KIPYA?

  • Aina mpya ya bubbles
  • Aina ya Tiki
  • Icon ya kitaarifa mpya
  • Aina mpya ya icon ya kianzio

Nisikuchoshe unaweza kupakua hapa zote 3

GBWhatsAppv6.25
GBWhatsApp3v6.25
GBWhatsApp+V6.25

Kwa watumiaji wa Android 6[Marshmarlow] kama una tatizo unaweza kusema ili tuweke sawa. 

Soma pia:Download Yowhatsapp v7.20

Smatskills ©2018 All right Reserved