SHARE

Related image

download hapa game la pubg kwenye simu zote ambazo ukiingia google play unaambiwa game haliendani na version ya simu yako.

DOWNLOAD HAPA PUBG APK MEGA

DOWNLOAD HAPA PUBG OBB MEGA

JINSI YA KUINGIZA GAME NA KUFURAHIA .

Download apk na obb link hapo juu kisha baada ya kudownload install apk kisha ingia kwenye internal storage /Android/obb/ tengeneza folder ambayo utaiandika hivi com.tencent.ig baada ya kuandika hivo njoo ulipo hifadhi obb ya game hili la pubg ichukue ukaiweke kwenye folder uliyo tengeneza kule kwenye internal storage /Android/obb/com.tencent.ig .

furahia game bila shida.

je kuna game linakupa shida ?? tuandikie maoni yako hapo chini  tukusaidie .

authenticaiton failed.
Facebook Comments