SHARE

 

Hellow guys smatskills gamers,mambo vp? Natumaini wazima na wenye afya . Ah Leo katika kuwaletea vitu vitamu nimekuja na hiili game apa linaitwa REAL RACING 🏁 3 .

Real racing 🏁 ni game la magari ambalo limekuwa gumzo sana kwa developer mbali mbali wanaotengeneza na kumiliki games Mfano needs for speed,alphat n.k

Game HILI limekuwa gumzo kwasabbu ya vitu vifuatavyo

1. Graphics kaliiii

2. Challenges za kutosha

3. Mda wa kucheza. Hapa ndo penyewe tumezoea game nyingi unaendesha gar dkk 1 mzunguko wa mashindano unakuwa umeisha .sasa kwenye real racing 3 unakimbiza gar mpka dkk 3 hadi 4 (inategemea na packages challange uliochagua)

4. Size ndogo na hussuport hadibsimu zenye 512mb za ram

Sasa ilikupata game HILI easy chakufanya download apk hapo chini kisha fuata maelekezo haya.

NAMNA YA KUINSTALL REAL RACING 🏁 3

1. Download apk setup  kisha install kwenye simu yako. Unaweza pakua hapa Download real racing 🏁 3 (PCLOUD LINK)

2. Baada ya kudownload hilo game ukiiinstall akikisha una mb 450 ili liweze kuweka packages ambazo nmehack . Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza na enjoy game lako na unlimited coins (9999999999999 coins)

Kwa muonekano wa HILI game lilivyo angalia video hiii hapa chini