SHARE

PAKUA HAPA  TOLEO JIPYA LA PES 2018 v2.3.1 (KWA WALE AMBAO PLAYSTORE INAWASUMBUA). AU VIFAA VYAO HAVIJAPEWA RUKSA YA KUTUMIA GOOGLE PLAY.

Image result for pes 2018 new updateImekuwa mwaka mzima tangu PES 2018 ilipoanza kwenye simu, na Konami inaadhimisha kwa kuanzisha kikundi cha legends wapya. Wale ni wachezaji wazuri sana, ikiwahata huwajui.

Wachezaji hawa ni pamoja na Zico, Romário, na kikundi zaidi. Inaonekana kama wengi wa legends hawa ni kutoka nchi kadhaa  ikiwa ni pamoja na Brazili, Ufaransa, Korea na Japan.
PES 2018 inaadhimisha kumbukumbu ya maadhimisho na hadithi mpya.

Hii ni sehemu ya tukio la maadhimisho ambalo pia linajumuisha Changamoto za Kitaifa Online, ambayo inakupa njia ya kupata nyota tatu  kutoka nchi zilizo hapo juu.

Unaweza pia kupata wachezaji hawa kwa kucheza Brazil 53 Stars, Japani Timu ya Taifa  , na Korea Stars. Kwa hiyo endelea kusoma hapo chini ili na ufurahie  PES 2018 kwenye simu yako licha ya Google Play kukuzingua pakua hivi sasa na ufurahi mwenyewe.

smatskills Tumeona tu upload huu mchezo maalumu kwa wenye vifaa ambavyo vina shida na google playstore.

Mahitaji ya Mchezo huu >mchezo huu una APK + OBB ambazo utahitaji uwe nazo ili kucheza mchezo huu pakua hapo chini na tutakuelekeza namna ya kuingiza kwenye simu yako na ukafurahia.

PES 2018 Android
>DOWNLOAD APK HAPA (Google drive)

DOWNLOAD OBB HAPA (Google drive)  

DOWNLOAD OBB HAPA (MEGA)

link ya mega itakuomba decryption key inakili hapa hio key !– Target –>


 download hapo apk MB 56
download hapo juu obb GB 1.56
NOTE: OBB SIO KWAMBA UPAKUE KUTOKA KWENYE MEGA NA GOOGLE DRIVE HAPANA HAPO KWENYE OBB TUMEKUWEKEA LINK AMBAPO UNGEPENDA WEWE KAMA WEWE UPAKUE KUTOKA WAPI.

  JINSI YA KUINGIZA GAME NDANI YA SIMU YAKO.

kwanza kabisa install Apk ulipakua hapo juu, baada ya kuiingiza Apk  ingia kwenye uhifadhi wako wa ndani (internal storage) kisha tafta Foda iliyoandikwa Android ifungue kisha ndani utakuta foda kadhaa angalia iliyoandikwa obb fungua hio obb kisha tengeneza foda ambayo utaiandika hivi jp.konami.pesam baada ya kutengeneza foda hio rudi hadi ulipo hifadhi obb ya game hili ambayo umepakua kutoka kwenye link zetu  hapo juu.

chukua hio obb (yaani inakili)kisha ipeleke kule uliko tengeneza foda ,android/obb/jp.konami.pesam iweke humo.

baada ya hapo utakuwa ushamaliza kuweka sasa ni zamu ya kucheza game lako…..
washa data kisha fungua APK ya game na Enjoy.

Tuandikie maoni yako endapo utafanikiwa au utakapo kwama.