SHARE

Oyooooo habari za saizi smatskills gamers,! Natumaini wazima na wenye afya .
?? leo hii smatskills Tumekuletea trick nzuri sanaa kwa wewe mpenzi wa games yan naongelea android games .

?? tutaenda kuongelea jinsi ya kuhack games za simu kwa kutumia app moja ambayo ni rahisi kutumia .

?? watu wamezoea app mbalimbali ambazo zimekuwa gumzo kwa maana ya kwamba hushindwa na watu wengi kutokana na mfumo endeshaji wake katika kuhitimisha lengo ,mfano wa hizo app ni
1. Lucky patcher ❌
2.game gurdian ❌
3. Efs file Explorer ❌ n.k

Ila leo nitakupa app nzuri sana na rahisi kutumia BAKI NASI……

MAHITAJI
1. Simu yako (rooted na non rooted)
2. App (download hapo chini)
   

Baaada ya kudownload sasa chakufanya ungana nasi kwenye video hii hapa ya maelekezo (ukiweza download ) ili uwende kujifunza vizuri na kuielewa vizurii.

Smatskills ©2018 All right Reserved