SHARE

Kampuni ya Tecno  inazidi kukimbiza soko la simu kwa Afrika hasa upande wa Afrika Mashariki,kila kukicha wanahakikisha hawapo nyuma hasa kwa matoleo mapya.

Hivi karibuni wameachia mzigo mwingine unaotoka kwenye familia ya Spark, Yaani Tecno Spark2. Huenda umejiuliza “kuna tofauti gani kwenye familia hii ya Spark”?.

Tecno Spark2 zikiwa katika rangi tofauti

SIFA NA UWEZO WA  TECNO SPARK2 Pro

  • Kioo chake 6-inch HD+ IPS LCD touchscreen, 720 x 1440 pixels
  • Android 8.1 Oreo(HiOS 3.3) (Spark 2 ina 8.1 toleo dogo>Go edition<)
  • Inakuja na 2GB RAM (Spark 2 ram 1GB)
  • Quad-core 1.3GHz Prosesa MediaTek MT6739
  • 16GB ujazo wa diski uhifadhi unaweza kuchomeka hari 128GB
  • 13MP + kamera ya nyuma na  8MP kwa mbele
  • Betri 3500mAh sio cha kuchomoa ndani.
  • Uwezo wa kimtandao  GSM / WCDMA / LTE

Soma pia kuona tofauti: SIFA NA UWEZO WA  TECNO SPARK

Baadhi ya vitu vilivyo ongezeka ni Ram, toleo la OS,uwezo wa Betri,Ukubwa wa kioo,kufungua kwa sura  na pia uwezo kimtandao.

Bei ya simu hii kwa makadirio inafika Tsh.250,000 (inabadilika kutokana na sehemu uliyopo).

Kama una maoni ushauri karibu Telegram smatskills