SHARE
   Ukizungumzia ushindani wa kutengeneza simu janja hasa zinazokimbiza sana soko la Afrika  basi lazma utaje Infinix,ni kampuni inayotishia soko la  simu zingine hasa kasi yake ya kufyatua simu bomba na imara.

Infinix NOTE 4

  Kwa watumiaji wa Infinix Note 4 habari njema kwenu,mwanzoni wa mwezi Machi familia hii ya note 4 inatarajiwa kupata toleo jipya la Android 8 yaani Oreo, kupitia forum yao wamesema wapo mbioni na hivi karibuni watafanyia majaribio.

  Sifa za note 4

Ukubwa wa kioo Inchi 5.70
Upana  1080×1920 pixels
Hifadhi  32GB
Prosesa 1.3GHz quad-core
RAM 3GB
Kamera ya nyuma  Megapicel 13
Kamera ya mbele  megapixel 8
OS Android 7.0
Uwezo wa Betri 4300mAh

Simu hiyo imetoka mwezi wa 8 2017
Kwa sifa hizo zinatosha kabisa kupata toleo jipya la Android 8.

Sifa na uwezo wa Infinix Hot 5 X559c

Wewe unatumia simu gani?, unahitaji toleo jipya?  Niandikie chini hapo? 

Smatskills ©2018 All right Reserved