SHARE

Instagram imepata idadi kubwa ya vipengele vyenye nguvu ikiwa ni pamoja na uwezo wa kusambaza nyimbo kutoka mtandao wa Spotify kwa video, awali ilikuwa ni video zilizopakiwa kwenye GoPro stori , kulingana na ripoti ya mtandao wa Tech Times. Watumiaji hawatahitaji kuunganisha Instagram na programu hizi kabla ya kushirikiana, na wataweza kushiriki maudhui kutoka kwa programu nyingine pia katika siku za usoni.

Kampuni hiyo pia inaanzisha aina nyingi za vichujio vya picha mpya, na watumiaji wataweza kufikia seti maalum ya vichujio kulingana na akaunti za watu maarufu za Instagram wanazofuata. kulingana na ripoti hiyo Watumiaji pia wataweza kujaribu filters zilizotumika na marafiki zao.

Kufuatia kuanzishwa kwake kwenye Facebook na WhatsApp, Instagram pia imeanzisha mazungumzo ya video kwenye jukwaa lake. Watumiaji wanaweza kuanza kuchat kwa njia ya video kwa kubofya kwenye kitufe cha kamera kwenye upande wa ujumbe wa moja kwa moja/Direct message(DM)

Kipengele cha “Explore” cha Instagram pia kinapokea feature mpya na watumiaji sasa watapata mada maarufu katika orodha ya “scrollable”. Kutafuta mada inayohusu watumiaji kwa #hashitag kuhusiana na mada hiyo. Mfano #teknolojia

Hatimaye, Instagram pia imeanzisha Ukaguzi mpya wa uonevu na ubaguzi ambao unajaribu kuficha moja kwa moja maoni yoyote yaliyopangwa kuwa yanayokandamiza au kunyanyapaa

Instagram imepata idadi kubwa ya vipengele vyenye nguvu ikiwa ni pamoja na uwezo wa kusambaza nyimbo kutoka mtandao wa Spotify kwa video, awali ilikuwa ni video zilizopakiwa kwenye GoPro stori , kulingana na ripoti ya mtandao wa Tech Times. Watumiaji hawatahitaji kuunganisha Instagram na programu hizi kabla ya kushirikiana, na wataweza kushiriki maudhui kutoka kwa programu nyingine pia katika siku za usoni.

Kampuni hiyo pia inaanzisha aina nyingi za vichujio vya picha mpya, na watumiaji wataweza kufikia seti maalum ya vichujio kulingana na akaunti za watu maarufu za Instagram wanazofuata. Kwa mfano, kama mtumiaji anafuata Akaunti ya Wema Sepetu ataweza kufikia vichujio mbalimbali kama rangi ya mdomo ya mwigizaji huyo n.k, kulingana na ripoti hiyo Watumiaji pia wataweza kujaribu filters zilizotumika na marafiki zao.