SHARE

Kumekuwa na shida sana kwa watumiaji wa windows 8/8.1 kushindwa kuwasha NETFRAMEWORK 3.5 kwasabbu ya mfumo endeshaji huuu kuwa NETFRAMEWORK 4

Netframework 3.5 husaidia sana kwa wapenz wa games kwani games nyingi za pc zinahitsji Netframework 3.5 .

?? pia sio games tu bali hata program kama cubuse 5 , spotfy cracker , Adobe zote huhitaji Netframework hii ya 3.5
BILA kupoteza mda twende tukaaanze…..

MAHITAJI
?? pc yako windows 8/8.1
? image windows 8/8.1
?winnrar

Codes zilizotumika kwenye cmd ni hizi hap
cd..

1) cd..

2) cd..

3) dism /online /enable-feature /featurename:netfx3 /all /source:c:sxs /limitaccess

Kama ukikutana na hii error code 0x800f0922

Chakufanya fungua cmd as administrator kisha weka code za mwanzo kisha maliza na hizi hapa chini

dism /online /cleanup-image /restorehealth


Baada ya kusema hivo ungana nami kwenye video hiii hapa chiniii kufanikisha shughuli nzima 

Smatskills ©2018 All right Reserved