SHARE

Katika ukurasa huu, utapata link  rasmi ya kupakua ROM ya Firmware Ya TECNO Y4(faili ya flash) kwenye kompyuta yako. Firmware ipo katika  zip, ambapo ndani yake ina Flash Files, Flash Tools ,USB DRIVER .Pia Vile vile Utakuta maelekezo au mwongozo jinsi ya kuflash simu hio.

Download Tecno Y4 Stock Firmware (flash file)

Link 1:GOOGLE DRIVE (DOWNLOAD TECNO Y4 MT6572_4.4 FIRMWARE HAPA)

Link 2:MEDIAFIRE (DOWNLOAD TECNO Y4 MT6572_4.4 FIRMWARE HAPA)

Jinsi ya Ku Flash .

Soma hapa:

Pakua na uondoe mfumo wa zip wa firmware ya Tecno Y4 kwenye kompyuta yako.
Hatua ya 2: Baada ya kutoa zip, utaweza kupata folder hizi Firmware File, Flash Tool, USB Driver  na Maelekezo ya Jinsi ya -ku Flash.
Hatua ya 3: Install USB Driver iliyotolewa kwenye Kompyuta yako, na kama ikiwa USB Driver  imewekwa tayari, Ruka hatua hii).
Hatua ya 4: Fuata Mwongozo wa namna ya kufanya kwenye maelekezo ndani ya Firmware iliyopo kwenye zile Folder ili Uweze kuflash Kifaa chako cha Tecno Y4.