SHARE
Huenda ikawa hukupata matokeo mazuri mazuri baada ya kuroot simu yako,labda inasumbua jambo fulani,au kabda unataka kuiuza au bado una warant na unataka kuridisha dukani,vyote vyawezekana.
  Hii inahusu zaidi wale walioroot simu kaa Kingroot. Njia ni rahisi sana, ingia kwenye kingroot yenyewe

hapo simu ipo rooted
Unroot Kingroot hapo itajitoa yenyewe naikimalizika simu itajizima na kuwaka
Baada ya hapo zoezi litaisha
Smatskills ©2018 All right Reserved