SHARE

Kila ukinunua simu mpya lazima uangalie toleo la Sms lilikuwepo,wengi hupendelea kununua simu ambazo ni os yake ni latest(kisasa) hata kama sio toleo la kisasa atategemea kupata muda si mrefu. Utatata au balaa huja pale unaposubiri na hakuna taarifa yoyote ya kupata,inauma sana.
Wengi huamua kutumia custom roms ili kwenda na wakati lakini pia sio simu zote zina custom roms.
Leo nimekuwekea njia ya kutafuta toleo la kisasa la simu za Huawei na Honor.tutatumia
  Firmware Finder  

Fuatana nami kwenye video hapa Kumbuka kuwa sio kila toleo linakua ni Android latest mengine yanakuwa ni version ilele imeboreshwa kidogo.
Kama kuna swali njoo kwenye comment chini hapo au karibu kwenye group letu Telegram hapa Smatskills

Smatskills ©2018 All right Reserved
authenticaiton failed.
Facebook Comments