SHARE
Karibu tena Smatskills. Leo nitakupatia maujanja ya kutazama Password za WIFI za mtu ambazo zimehifadhiwa kwenye  
simu yako
Je, unajua kama uliwahi kuunganishwa na WIFI yoyote yenye password, Hizo password huwa  zinahifadhiwa kwenye simu yako? Kama ulikuwa haujui Leo utaenda kufahamu kila kitu.

Vitu vinavyohitajika:
✔ Simu ya android ambayo ni Rooted na
✔ App ya Es File Explorer
BOFYA hapa kupakua

Baada ya hapo ungana nami hatua kwa hatua

1. Fungua Es File Explorer kisha bofya mahali nilipozungushia kwa alama nyekundu

2. Kisha Chagua storage

3.Fungua folder la Data

4. Ndani ya folder la data Fungua folder la Misc

5.fungua folder la wifi

6. ndani ya folder la wifi utakuta file la “wifi_supplicant .conf” ambalo litakuwa katika format ya .txt

7.fungua hilo file kwa kutumia note editor hapo utakuta password zote

8. password ni hayo maneno niliyopigia mstari mwekundu kwa chini na hilo neno lililo onyeshewa na mshale “NONE” inamaanisha hiyo wifi haikuwa na password
Natumai hapo utakuwa umeelewa somo letu la leo
Faida kubwa ya hii njia husaidia kukumbuka zile password zote tulizo zisahau na inaondoa usumbufu wa kuuliza uliza password mara nyingi kwa marafiki wetu wa karibu.
Usishau kuniachia maoni yako hapo chini

 

Smatskills ©2018 All right Reserved