SHARE

Kama kuna mtu ambaye anapenda michezo ya kwenye simu hasa mpira wa miguu na bado hajacheza dream league basi upendo wake ni wa uwongo.

Dream League imependwa sana  kutokana na udogo wake(halina MB nyingi) pia katika muonekano wake na pia jinsi ambavyo mtu anaweza kucheza bila kuwasha data.

Tulishajionea na kujifunza mengi kwenye mchezo huu,kama vile👇

  1. Jinsi ya kuhack(kudukua ili kupata coin)
  2. Jinsi ya kucheza wawili (kuunganisha)
  3. Jisni ya kutengeneza uwanja pia (Soma zote)

Sasa leo tujifunze jinsi ya kubadilisha jezi na uweke za timu au club upendayo,ndani ya Dream League una uwezo wa kutengeneza jezi zako utakazo lakini kuna watu wanataka kutumia jezi mfano za Barcelona, Madrid,Manch Manchester United na nyingine nyingine nyingi.

Njia ni rahisi tu,karibu kutazama video fupi na utaelewa.

 

Kama kuna jezi unataka niandikie kwenye maoni chini na tutakuwekea hapa.