SHARE

Telegram ni mtandao wa kijamii unaokua kwa kasi sana,na hii inatokana na ubora,usalama na mambo yaliyomo huko. Kwa wale walijaribu kutumia kwa mara ya kwanza tu,huwa wanaona WhatsApp sio nzuri kama telegram.

Sasa leo tunajifunza kutengeneza bot bila kutumia lugha ya kompyuta (code). Kinachohitajiwa ni simu na umakini wako tu.

Kuna platform nyingi sana za kutengeneza bot,lakini maarufu na nzuri ni kama Manybot,Chatfuel. Utakachofanya utaanzia kwa botfather ambae ndio baba wa bot zote,huko utapewa token ambayo utapelekwa kwenye platform mojawapo tajwa juu hapo.

Leo sehem ya kwanza tutatengeneza kwanza alafu sehemu ya pili tutamuunganisha na kuset picha na maelezo yake.

Usikosesehemu ya pili ili kukamilisha bot wako, endelea kuwa na smatskills,kama una upenda bidii zetu share link kwenye mitandao mbalimbali.

authenticaiton failed.
Facebook Comments