Home Mobile Phones Review Kampuni ya Infinix yawa tisho baada ya kuingia Tanzania

Kampuni ya Infinix yawa tisho baada ya kuingia Tanzania

0
SHARE

Tulizoe kuona hii kampuni ikiwa Kenya,Nigeria na Unganda kwa hapa Afrika.

muonekano wa jeno lenye matangazo ya infinix maeneo ya makutano ya barabara ya Msimbazi na Uhuru

Sasa hii kampuni hii imeamua kuingia Tanzania kwa miguu miwili kwa ajili ya kuja kufanya kazi hapa.

KWANIINNI TISHIO KWA KAMPUNI ZINGINE?

Kampuni zinaongoza kwa uuzaji wa simu Tanzania ni kama Tecno,Samsung, Huawei iPhone na pia itel n.k

Infinix inatishia hizi kampuni kutokana na uimara wa simu zake utunzaji wake wa chaji na pia kwenye bei pia.

Infinix Hot 3 ni simu  ikiyopo sokoni kwa sasa ambayo ina sifa nyingi sana ikiipa upinzani mkali simu ya Tecno Canon X.

toleo la kisasa la ya Hot S3

SOMA PIA SIFA ZA INFINIX HOT S3

toleo la kisasa la simu ya Canon X

SOMA PIA SIFA ZA TECNO CANON X

KWA MTAZAMO WAKO KULINGANA NA SIFA NI SIMU GANI KALI NA YENYE UWEZO MKUBWA?

niandikie kwenye comment