SHARE

PHOENIX ni kivinjari ambacho sio kikongwe sasa kwenye apps tumizi,pamoja na ugeni wake sokoni lakini kimepata watumiaji wengi kutokana na kuja kikiwa ndani ya simu kama Tecno na Infinix kikiwa kama kivinjari maalumu kwa simu hizo.

Watengenezaji wa app hii wamekuwa wakipambana kweli kweli ili kulishika soko vizuri. Mara hii wameamua kukiweka tofauti kabisa na vingine.

soma pia Ijue Tofauti kati ya Mb na MB

Tofauti kuu katika app hii

  • Ni kuoonesha menu kwenye injini ya Google kama vile image,apps,video,map na books kama vilivyo vingine. Nyingine ni kuwekarangi nyekundu kwa maneno yaliyoendana kwenye utafutaji. Mwisho kabisa ni kuongeza injini pekuzi  ya DuckDuckGo ndani yake.

DuckDuckGo ni nini?

Hii ni injini pekuzi ya kutafutia zile tovuti ambazo ni Deep Web na Duck Web ambazo huwa hazionekani katika injini pekuzi zakawaida kama Google,Yahoo na Bing.

soma pia Deep Web na Duck Web Ulimwengu mwingine  Kimtandano