SHARE

kuna baadhi ya jumbe kadhaa zinazotumwa kwenye WhatsApp ambazo zinaweza kuangamiza programu ya ujumbe, au hata simu nzima ya Android. Ujumbe huu wa maandishi una alama za siri katikatiya nafasi. Wakati mtumiaji wa WhatsApp anabonyeza kwenye sehemu ya ujumbe ule  ambapo kuna  ishara zilizofichwa zinapanua na kuizidi program ya  Whatsapp iwe ni kwenye Android au iOS, Inasababisha programu na / simu kukwama.

Ujumbe mmoja ni  rahisi na wakuvutia katika maandiko hayo ambayo unaweza kukuta yanasomeka “Hii ni ya kuvutia sana,” na “kuchekesha sana Cheka na wewe hadi ulie” kisha emoji. Ishara zilizofichwa ni kati ya emoji na alama ya nukuu. Ujumbe wa pili unakuambia hasa nini kitatokea ikiwa unatabonyeza kwenye dot nyeusi ambayo ni sehemu ya ujumbe. “Ikiwa unagusa kitambulisho cha rangi nyeusi basi WhatsApp yako itakwama kwama,napia simu yako Kuganda”

TAFADHARI : EPUKA SMS KAMA HIZO UNAWEZA KUUA KIFAA CHAKO .