SHARE
NEW UPDATE FROM TELEGRAM. 
Telegram watoa update mpya Ambayo Ni V4.7 ambayo imeongezwa 
Uwezo zaidi. 
YALIYOMO KATIKA HIO MPYA. 
>Multiple Account 
Sasa utaweza kutengeneza Akaunt mbili Ama zaidi kupitia App hio moja wala huhitaji Paraller Sapce Ili kutengeneza Akaunt zaidi. 
>Swipe Reply 
Sasa unaweza Kujibu ujumbe uliotumiwa haraka zaidi kwa ku swipe tu. 
>Quick Switch between different Account 
Hama Akaunt moja Kwenda nyingine kwa Uharaka zaidi. 

Smatskills ©2018 All right Reserved
authenticaiton failed.
Facebook Comments