SHARE

Kama kawaida ni wale wale GBmods,
 GBInstagram toleo nambari 1.40 limeachiwa sasa.

 Ni nini kipya kwenye 1.40?

  • Kuficha watu wasione jina lako endapo utaangalia hali ya mtu[status]
  • Kuacha kumfuata mtu kwa urahisi bila kwenda kwenye wasifu wake.
  • Rangi tofauti
  • Kutoa maoni ukiwa nje ya chapisho,yani bila kwenda ndani ya chapisho. 

Hayo ni machache tu, utaona mengi baada ya kupakuwa.

GBInstagram 1.40
GBInstagram plus 1.40

Kama una maoni unaweza kutuandikia chini hapo.

Smatskills ©2018 All right Reserved
authenticaiton failed.
Facebook Comments