SHARE

Habari gani wapenzi na Wafuatiliaji Wa Website yetu? Leo tunapenda Kutambulisha Rasmi app yetu ambayo tumeiandaa Mahususi kwaajili yenu ili kufikisha Huduma kwa Haraka.

 

JINSI YA KUINGIZA APP YETU.

Download app yetu kutoka kwenye viungo tulivyokuwekea kisha Fata hatua hizi.

NB: app hii ni kwa watumiaji wanaotumia simu zenye mfumo wa android version yoyote ile.

Unapomaliza Kuipakua Fungua settings katika simu yako kisha Nenda >Security kisha Unknown source Weka On kama pako off Ila kama Pako ON usitie OFF.

Rudi Ulipo hifadhi app yetu kisha Install >baada ya Hapo utakuwa ushafanikiwa kuiingiza ndani ya Kifaa chako cha Android.

Kwa wenye Iphone Tunaomba Radhi ila na nyie Mkae mkao wa Kula.

DOWNLOAD HAPA APP YETU

 

 

DOWNLOAD SASA