SHARE

Smatskills nyumba ya kila mtu na kila kitu,hakuna utakachokosa huku kama ni mtembeleaji wa mara kwa mara.

Kama ulikosa au ulishindwa kupakua na kuset game la Pes 2019 PPSSPP hii ni kwa ajili yako. Hapa tumekuwekea game la 2018 likiwa limefunguliwa kabisa.

Hapa kuna hatua moja tu, kupakua na kucheza hakuna haja ya kulifungua na kuset faili za kuhamishia,utalikuta lipo mfumo wa ISO na lina ukubwa wa MB700+.

Lipakue hapa Pes2018[PPSSPP] padi ya kuchezea pakua hapa

Ukishapakua nenda kwenye padi yako moja kwa moja na kutafuta faili la iso ulikopakualia na utaanza kucheza papo hapo.

Kama kuna mipangilio inakuchanganya karibu  smatskills  tukufundishe bure.