SHARE

Facebook imefanya majadiliano ya juu ya kuleta docuseries yenye episode-13 karibu ikiwa na Ronaldo kwenye Facebook , kulingana na Variety Todd Spangler na Andrew Wallenstein walisema Kampuni hiyo imeripotiwa kumlipa Ronaldo karibu $ 10,000,000 kwa mfululizo.

Ronaldo, ambaye taarifa zimesikika kuwa ataweza kuondoka Real Madrid kwenda Juventus, ni mwana michezo maarufu zaidi kwenye Facebook na ana wafuasi zaidi ya milioni 120 kwenye ukurasa wake rasmi.

kwa mjibu wa Ripoti zinasema kwamba Cristiano Ronaldo anaweza kupata kipindi chake cha Television yeye mwenyewe katika Facebook ,Facebook itaonyesha vipindi mfululizo halisi wa Ronaldo upande wa Facebook Watch.

authenticaiton failed.
Facebook Comments