SHARE

Simu ya itel P32 imetoka mwezi wa tano,hii utaipenda sababu imekuja na toleo la kisasa la android pamoja na uwezo wa kutunza chaji ikiwa na 4000 mAh

Simu ya itel P32 ikiwa na rangi tofauti

SIFA NA UWEZO MWINGINE

 • OS: Android 8.1 Oreo ikiwa ni Android Go
  Sim kadi mbili:aina  (Micro)ndogo
  Ukubwa wa kioo : 5.5 Inchi HD+ IPS Touchscreen(mguso)
  Upana wa kioo: 720 x 1440 pixels (282 PPI)
  Prosesa : Quad-core 1.3 GHz, Mediatek MT6580 Chipset
  RAM: 1GB
  Ujazo wa diski: 8GB.
  Kadi mchomeko hadi 32 GB
  Kamera mbele/nyuma: 5MP + 5MP kamera mbili & LED Flash
  Kamera ya mbele: 5MP ikiwai na taa ya mwanga (LED flash)
  BBtri: 4,0000 mAh

Kwa vigezo hivyo hii simu unapendekeza iuzwe kama sh.ngapi za Kitanzania? Niandikie kwenye maoni chini tafadhali.kamera

authenticaiton failed.
Facebook Comments