SHARE

Kuna habari na sifa nyingi sana za simu hizi mitandaoni,wengi tayari tunazitumia na tushaona uzuri wake hasa kwenye ubora wa betri zake.

Leo tunaangalia Infinix hot 6 ikiwa ni mwendelezo wa familia ya hot, Familia hii imeachia matoleo matatu kwa mpigo lengo likiwa ni kukidhi mahitaji ya kila raia na kiasi chake cha pesa. Twende kwenye sifa moja kwa moja. Toleo la Hot 6 Lite linaendana na la kawaida kwahiyo hatutalichambua.

Rangi mbalimbali za Infinix Hot 6

SIFA ZA HOT 6 PRO

 • OS: Android OS, v8.1 (Oreo)
 • Kioo:nchi 5.9-, (kwenye mguso720 x 1440 pixels)
 • Aina ya prosesa: Octa-core 1.4 GHz Cortex-A53 Qualcomm Snapdragon 425
 • Ujazo wa diski pamoja na  RAM: 32GB, 3GB RAM
 • Kamera ya nyuma:(zipo mbili): 13MP+2MP, f/2.0,autofocus, LED flash
 • Kamera ya mbele:MP f/2.0, LED Flash, FaceID(utambuzi wa sura)
 • Uwezo wa mtandao:GSM/ HSPA / LTE
 • Betri kutoka  Li-Ion 4000 mAh (siyo la kuchokoka)

HOT 6 KAWAIDA

 • OS: Android OS, v8.1 (Oreo)
 • Kioo:nchi 5.9-, (kwenye mguso720 x 1440 pixels)
 • Aina ya prosesa: Octa-core 1.4 GHz Cortex-A53 Qualcomm Snapdragon 425
 • Ujazo wa diski pamoja na  RAM: 16GB, 2GB RAM
 • Kamera ya nyuma:(zipo mbili): 13MP+2MP, f/2.0,autofocus, LED flash
 • Kamera ya mbele:MP 5 LED Flash, FaceID(utambuzi wa sura)
 • Uwezo wa mtandao:GSM/ HSPA / LTE
 • Betri kutoka  Li-Ion 4000 mAh (siyo la kuchokoka)
 • Rangi:Nyeusi,Bluu,Dhah Dha na Nyekundu

Una maoni gani kuhusu simu hizo?? Je umezipenda? Tupe maoni yako sisi tutakupa bei yake kwa Tsh.

authenticaiton failed.
Facebook Comments