SHARE
Infinix kampuni tishio Afrika kwa utengenezaji wa simu kali na zenye uwezo mkubwa na bei yake ikiwa ya kawaida.

 Hii simu ni bora kabisa kila idara,ukinza na kamera yake, betri lake likiwa na mAh 4000 huu ni uwezo mkubwa wa betri,ujazo wake wa ndani ni mkubwa,imekuja na toleo la kisasa kabisa la Android 8[Oreo].

Soma Pia:- Vigezo Muhimu Kabla hujanunua Simu

  sifa na uwezo wa simu hii

Picha na intagram.com/Infinix Tanzania
Ujazo wa ndani 32GB
RAM 3GB
Kamera ya nyuma 13-MP
Kamera ya mbele 20-MP
Toleo la android  Android 8.0

 Kwenye picha hasa wapenda selfie wataifurahia sana,kamera ya mbele ikiwa na 20MP.
  Mara hii prosesa ya hii simu imetoka Snapdragon,tofauti na ilivyozoeleka kwamba hutengenezwa na mediatek. 

Smatskills ©2018 All right Reserved