SHARE

Kila siku moja simu janja moja hutambulishwa duniani,wazia kwa mwezi zinatoka simu ngapi?.

Simu ya itel A32F

Leo tuone sifa na uwezo wa simu mpya kutoka itel ikiwa ni A32F.

ToleoAndroidAndroid OS, v8.1 Oreo(Go Edition)
ProsesaChipsetMediaTek MT6580M
Hifadhihifadhi ya ndani8GB, 1GB RAM
Kadi ya ziadahifadhi ya kuchomekahadi 32GB
Kamerakamera ya nyuma5MP With Auto Focus
Kurekodi Videondio
Kamera ya mbele2MP
Muunganishokasi ya data2G, 3G
WLANWi-Fi 802.11 b/g/n , hotspot
SensorFingerprint(alama ya kidole)
Uwezo wa Betri2050 mAh
Simu inakuja na rangiMidnight Black, Rose Gold, Starry Blue
Beisio rasmi (huenda ikabadilika)Tsh.150,000

Kwa bei hiyo ukilinganisha na sifa  na uwezo wa simu,basi utagundua ni simu ya kisasa kabisa,sifa kuu na pekee ni kuja na toleo la Android 8.1 pamoja na sehemu ya alama ya kidole.

Tupe maoni yako simu unaipokeaje?