SHARE

Sony imeanza kusukuma sasisho jipya kwenye baadhi ya simu zake zaa mkononi . Sasisho – kwa sasa linaenda kwenye XPeria XZ, XZs, na X Performance – imeongeza Build Number kutoka 41.3.A.2.107 hadi kuwa toleo 41.3.A.2.128 na inajumuisha Patch za usalama wa mwezi Mei.

Build number mpya ya sasisho jipya kwenye simu za sony.

Kwa sasa hakuna Taarifa kama sasisho hilo jipya litaleta vipengele vipya au mabadiliko ya UI. Kama ilivyo kawaida na OTA inatoka nje, inaweza kuchukua muda kwa taarifa ya sasisho ili upate kwenye kifaa chako, hivyo uwe na subira.