Home Apps SUBSTRATUM NI KITU GANI?

SUBSTRATUM NI KITU GANI?

0
SHARE

Kila kukicha teknolojia inazidi kupiga hatua,watu hawajaridhika na yaliyomo kwa sasa,ndio maana wanazidi kuvumbua mengine mengi.

substratum

Substratum ni nini?

Hii ni app inayokuwezesha kutengeneza na kutumia mandhari nzuri kwenye simu yako ya android na kubadilisha kabisa muonekano wa simu ilivyokuja.

Hii iko tofauti na launcher au themes mbali mbali zilizoeleka sokoni,ukitumia substratum unaweza kubadili kila kitu kwanzia

  1. vialama vya juu(status bar)
  2. vibonyezo vya chini(navigations bar)
  3. hapo unaweza kubadili rangi na aina ya vibonyezo pia,ukaweka labda za nexus,sony galaxy S8 n.k
  4. upande wa mipangilio(settings)
  5. Notifications bar na mengine mengi.

SOMA PIA: MIRACLE BOX LATEST SETUP

Hii inakubali matoleo yote ya android lakini kwa vigezo tofauti.

Chini ya android 7  lazma uroot simu yako

Android 8.0 Oreo hii inakubali na utatumia andromedia

kama unatumia toleo la AOSP pia hauna ulazima wa kuroot simu yako.

Pakua Substratum hapa Play Store

Endelea kufuatilia website yetu,wakati ujao tutaelezea jinsi ya kutumia kwenye simu ambayo ni rooted na rootless kwa Oreo.

karribu kweye channel yetu telegram Smatskills Official