SHARE
Kuna msemo usemao “mali bila daftari hupotea bila habari” lakini hapa hatuhitaji daftari hili kujua kiwango cha data tunachotumia kwa siku wiki au mwezi.

DATALLY

App itakayokuwezesha kujua kiwango cha data ulichotumia.
   Pakua hapa Datally
     

  Kila siku mamia ya watumiaji wa simu janja hutumia data kwenye simu zao lakini wengi wetu hatujui kiwango cha data tunachotumia kwa siku, hii pia imechangia mtumiaji kugombana na mtoa huduma wake pale anapohisi kuwa hajatumia kiwango cha data kulingana na alichonunua.
 Leo tunakupa njia jinsi ya kutambua kiwango cha data kwanzia siku, wiki mpaka mwezi.

Kushoto app inayoyotumia data sana, kulia matumizi ya siku

   

 Hautaishia kujua kiasi cha data utumiacho tu bali ni app gani inatumia sana data,pamoja na kiwango cha kila app katika matumizi ya data,unaweza kublock(kuzuia).
Kama utachangua data server ukumbuke app utakazozuia hazitatumia data, kwa hiyo ukumbuke kuruhusu iwapo unataka kutumia app husika.

Asante kwa usomaji wako, kushare ni bure, mtupie na ndugu au rafiki yako nae afaidi, kama una maoni unaweza kuniandikia chini hapo kwenye comment 

Smatskills ©2018 All right Reserved