SHARE

Unajisikiaje unapo piga simu kwa mtu ukaulizwa “nani mwenzangu”? ukikumbuka kuwa uliempigia ana nambari yako ya simu? Bila shaka wengi huona kama dharau,au labda amefuta namba yako.

Truecaller ni moja ya app muhimu sana kwenye simu janja. Karika uchambuzi wa Apps muhimu kwenye simu yako utaona imeorodheshwa hapo.

Watengenezaji wa app hii wamejitahidi sana kuendana na soko la app kwa ujumla kwani kila mara wanaweka vitu vizuri. Kama umesasisha toleo lako kuna ongezeko la kitu kipya yaani kurekodi simu zote unazopiga na kupigiwa.

Muongozo mpya wa truecaller baada ya kuongea na simu

Hichi kipengele kinapatikana kwenye toleo ambalo ni Premium lakini kwa wenye matoleo ya kawaida wanapewa simu 14 kutumia bure kisha baada ya hapo ndio ulipie. Pakua truecaller

Masharti ya kutumia sasisho jipya ili uweze kurekodi simu lazma utoe apps zozote zilizokuwa zinafanya kazi hiyo, yani kama ulikua na callrecord au apps zinazoeekodi simu basi zitoe kwanza.

Kama unahitaji truecaller toleo la premium bure unaweza kupakua hapa (hakikisha una Telegram)