SHARE

Kwa hapa Afrika Mashariki hakuna forum kubwa kama jamii forums(JF), Toka ujio wake mwanzoni mwa miaka ya 2007 imekuwa pekee kutokana na kukosa mpizani,forums zilizopo kwa sasa zimekuwa zikijihususha na lengo fulani ndio mana huenda zimekosa upendezi kwa watumiaji wengi.

Yani unakuta forum ni ya kisiasa,kiteknolojia n.k lakini tumeona ni tofauti na JF ambayo ina majukwaa mengi sana kama habari,dini,michezo,mapenzi na mengine mengi tu.

Soma pia:- Historia ya JamiiForums

Ujio wa tuzungumze forums umeonekana tofauti kidogo na nyingine,hii imekuja kama JF lakini ikiwa huru zaidi kuliko JF.

TOFAUTI KATI YA JIMII NA TUZUNGUMZE:

Kama umetumia au kujiandikisha kwenye TF sifa ya kwanza kuna jukaa la Bloggers,hii ni tofauti kabisa karibia Forums zote.

Jukwaa la Bloggers linawapa fursa wale wenye blog, website na channel za YouTube kupost na kutafuta watembeleaji. Hii ukijaribu sehemu zingine kuchapisha mahudhi yalio ambataniswa na kiungo (link) basi wewe moja kwa moja ni kifungoni (ban).

Pata traffics, viewers unaposhare link yako hapo

Kama una akaunti kote kati ya jamii forum na tuzungumze forum tuambie ni wapi unaona kuna uzuri?

Jamii forums Pakua hapa 

Tuzungumze App Pakua hapa